Mshambuliaji kinara wa mabao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Meddie akimtoka beki Erasto Nyoni kwenye mazoezi ya Simba SC jana kujiandaa na mchezo dhidi ya watani wa jadi, Yanga SC jioni ya leo Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam
Kiungo Msudan, Sharaf Eldin Shiboub (kushoto) akiwa na mshambuliaji chipukizi, Miraj Athumani 'Madenge'
Miraj Athumani 'Madenge' anaonekana kuwa fiti mno kuelekea mchezo wa leo
Kiungo kutoka Msumbiji, Luis Miquissone akiwa mwenye furaha mazoezini
Kiungo Msudan, Sharaf Eldin Shiboub (kushoto) akiwa na mshambuliaji chipukizi, Miraj Athumani 'Madenge'
Miraj Athumani 'Madenge' anaonekana kuwa fiti mno kuelekea mchezo wa leo
0 comments:
Post a Comment