Wachezaji wa Liverpool wakifurahia na Kombe lao la ubingwa wa Ligi Kuu ya England baada ya kukabidhiwa jana kufuatia mchezo dhidi ya Chelsea Uwanja wa Anfield ambao Wekundu hao walishinda 5-3. Mabao ya Liverpool yalifungwa na Naby Keita dakika ya 23, Trent Alexander-Arnold dakika ya 38, Roberto Firmino dakika ya 54, Georginio Wijnaldum dakika ya 43 na Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 84, wakati ya Chelsea yalifungwa na Olivier Giroud dakika ya 45 na ushei, Tammy Abraham dakika ya 61 na Christian Pulisic dakika ya 73. Liverpool inafikisha pointi 96 baada ya mchezo huo wa 37, sasa ikiwazidi pointi 18 Manchester City wanaofuatia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ange Postecoglou believes his Tottenham players still have faith in his
attacking style despite six-goal hammering at the hands of Liverpool
-
MATT BARLOW: Spurs were beaten 6-3 at home by Premier League leaders
Liverpool on Sunday, a demoralising result which leaves them 16 points from
the summit...
38 minutes ago
0 comments:
Post a Comment