Cristiano Ronaldo (wa pili kushoto) akipongezwa na makocha baada ya mechi dhidi ya Sampdoria, ambayo Juventus walishinda 2-0 usiku wa jana Uwanja wa Allianz Jijin0 Torino na kutwaa taji la Serie A kwa mara pili mfululizo tangu Mreno huyo ajiunge na timu hiyo na la tisa mfululizo kwao. Mabao ya Juventus yalifungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya 45 na ushei na Federico Bernardeschi dakika ya 67 na kwa ushindi huo, Juventus inafikisha pointi 83 kuelekea mechi mbili za mwisho ikiizidi pointi saba Inter Milan inayoafuatia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Rory McIlroy in line to be awarded freedom of his hometown after thrilling
Masters victory completed career Grand Slam
-
EXCLUSIVE: councillors back in Northern Ireland will hold talks on Monday
night over how to mark McIlroy's historic achievement.
25 minutes ago
0 comments:
Post a Comment