• HABARI MPYA

        Monday, July 27, 2020

        VARDY AWAPIKU AUBAMEYANG, INGS KIATU CHA DHAHABU ENGLAND

        Mshambuliaji wa Leicester City, Jamie Vardy ameshnda tuzo ya Katu cha Dhahabu cha Ligi Kuu ya England baada ya kumaliza msimu na mabao 23, mbele ya Pierre-Emerick Aubameyang, Danny Ings waliomaliza na mabao 22 kila mmoja, Raheem Sterling wa Manchester City 20, Mohamed Salah wa Liverpool 19, Harry Kane wa Tottenham Hotspur 18, Sadio Mane wa Liverpool 18, Raúl Jiménez wa Wolverhampton Wanderers, Anthony Martial na Marcus Rashford wa Manchester United 17 kila mmoja 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: VARDY AWAPIKU AUBAMEYANG, INGS KIATU CHA DHAHABU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry