// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); GIROUD AIFUNGIA BAO PEKEE CHELSEA YAICHAPA 1-0 NORWICH CITY - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE GIROUD AIFUNGIA BAO PEKEE CHELSEA YAICHAPA 1-0 NORWICH CITY - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, July 15, 2020

    GIROUD AIFUNGIA BAO PEKEE CHELSEA YAICHAPA 1-0 NORWICH CITY

    Olivier Giroud akishangilia na Jorginho baada ya kuifungia Chelsea bao pekee dakika ya 45 na ushei ikiwalaza 1-0 Norwich City usiku wa jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Venue Stamford Bridge Jijini London. Kwa ushindi huo, Chelsea inafikisha pointi 63 baada ya kucheza mechi 36 na kuendelea kushika nafasi ya tatu, nyuma ya Manchester City yenye pointi 72 na mabingwa tayari, Liverpool ponti 93 baada ya wote kucheza mechi 35. Norwich City inaendelea kushika mkia na pointi zake 21 za mcni 36, ikizidiwa point tisa na Aston Villa inayoshika nafasi ya 19 
      
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GIROUD AIFUNGIA BAO PEKEE CHELSEA YAICHAPA 1-0 NORWICH CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top