Kiungo majeruhi, Balama Mapinduzi alijumuika na wachezaji wenzake wa Yanga SC kambini kuelekea mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya mahasimu, Simba SC jioni leo
Balama Mapinduzi aliyeumia wiki mbili zilizopita maumivu ambayo yatamuweka nje hadi msimu ujao, alipata chakula na wenzake na kuwatakia kila la heri kuelekea kwenye mchezo huo muhimu

0 comments:
Post a Comment