Arturo Vidal akipogezwa na Lionel Messi baada ya kuifungia bao pekee Barcelona dakika ya 15 ikiwalaza wenyeji, Real Valladolid 1-0 katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Manispaa ya Jose Zorrilla. Kwa ushindi huo, Barcelona inafikisha pointi 79 baada ya kucheza mechi 36, ingawa inabaki nafasi ya pili nyuma ya Real Madrid wanaoendelea kuongoza kwa pointi moja zaidi wakiwa pia wana mechi moja mkononi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
FA Cup finalists Man Utd want Wembley 'revenge'
-
Manchester United boss Marc Skinner says his side want "revenge" against
Chelsea when the two sides meet in next month's FA Cup final.
22 minutes ago
0 comments:
Post a Comment