
Friday, July 31, 2020

Kiungo Zawadi Peter Mauya (katikati) akiwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga SC, Wakili Peter Simon (kulia) na Mjumbe wa Kamati ya Mashindano...
AKINA MSUVA WALAZIMISHWA SARE YA PILI MFULULIZO YA BILA KUFUNGANA LIGI KUU YA MOROCCO
Friday, July 31, 2020
Na Mwandishi Wetu, MAZGHAN KUINGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva jana kwa mara nyingine alishindwa kuisaidia ...
Thursday, July 30, 2020
AWESU AWESU ALIYEKUWA ANATAKIWA NA YANGA ASAINI MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA AZAM FC
Thursday, July 30, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Azam FC imekamilisha usajili wa aliyekuwa kiungo wa Kagera Sugar, Awesu Awesu, kwa mkataba wa mi...
MAREFA WATANO KUCHEZESHA FAINALI YA AZAM SPORTS FEDERATION CUP SUMBAWANGA JUMAPILI
Thursday, July 30, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kwa pamoja na Bodi ya Ligi wametaja marefa watakaochezesha Fainali ya A...
Wednesday, July 29, 2020
IHEFU YABISHA HODI LIGI KUU BAADA YA KUIPIGA MBAO FC 2-0, MBEYA CITY YAJIWEKA NJIA PANDA
Wednesday, July 29, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Ihefu FC imebisha hodi Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Mabo FC ya Mwan...
BENJAMIN WILLIAM MKAPA NAJUA UMEENDA, ILA ACHA NISEME!
Wednesday, July 29, 2020
Na Dominick Salamba, DAR ES SALAAM Dunia ni mahali ambapo tunaletwa ili tuishi.Maisha yetu yananzia kwa wazazi wetu na walezi wetu na kish...
Tuesday, July 28, 2020
CLATOUS CHAMA NA FEISAL SALUM WA YANGA SC WASHINDA TUZO YA MACHEZAJI BORA WA MSIMU SPORTPESA
Tuesday, July 28, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM VIUNGO, Mzambia Clatous Chama wa Simba SC na Feisal Salum wa Yanga SC wameshinda tuzo za Machezaji Bora w...
RAIS DK. MAGUFULI AUBADILI JINA UWANJA WA TAIFA, SASA KUITWA UWANJA WA MKAPA
Tuesday, July 28, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli ameubadili jina Uwanja wa Taifa n...
Monday, July 27, 2020
LUC EYMAEL AFUKUZWA KAZI YANGA SC KWA KUWATOLEA ‘MANENO MACHAFU’ MASHABIKI
Monday, July 27, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Mbelgiji, Luc Eymael amefukuzwa kazi Yanga SC baada ya miezi saba tu kazini kutokana na kutoa kauli...
JUVENTUS MABINGWA SERIE A KWA MARA YA TISA MFULULIZO
Monday, July 27, 2020
Cristiano Ronaldo (wa pili kushoto) akipongezwa na makocha baada ya mechi dhidi ya Sampdoria, ambayo Juventus walishinda 2-0 usiku wa jan...
VARDY AWAPIKU AUBAMEYANG, INGS KIATU CHA DHAHABU ENGLAND
Monday, July 27, 2020
Mshambuliaji wa Leicester City, Jamie Vardy ameshnda tuzo ya Katu cha Dhahabu cha Ligi Kuu ya England baada ya kumaliza msimu na mabao 23...
Sunday, July 26, 2020
LIVERPOOL YAMALIZA NA USHINDI WA 3-1 DHIDI YA NEWCASTLE UNITED
Sunday, July 26, 2020
Mshambuliaji Msenegal, Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la tatu dakika ya 89 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Newca...
MAN CITY YAISINDIKIZA NORWICH CITY CHAMPIONSHIP NA 5-0
Sunday, July 26, 2020
Kevin de Bruyne akishangilia na David Silva (kushoto) baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili dakika ya 45 na 90 katika ushindi w...
ARSENAL YAISHUSHA DARAJA WATFORD BAADA YA KUICHAPA 3-2
Sunday, July 26, 2020
Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika ya tano kwa penalti kufuatia Craig Dawson kumuan...
CHELSEA YAFUZU LIGI YA MABINGWA BAADA YA KUICHAPA WOLVES 2-0
Sunday, July 26, 2020
Kinda wa England, Mason Mount akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Chelsea kabla ya Olivier Giroud kufunga la pili, yote katika ...
LIPULI FC 0-1 YANGA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Sunday, July 26, 2020
MAN UNTED YAIPIGA LEICESTER 2-0 KING POWER NA KUFUZU LIGI YA MABINGWA
Sunday, July 26, 2020
Wachezaji wa Manchester United wakipongezana baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Leicester City leo kwenye mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya E...
SAMATTA AINUSURU ASTON VILLA KUSHUKA DARAJA BAADA YA SARE YA 1-1 NA WEST HAM UNITED
Sunday, July 26, 2020
Na Mwandishi Wetu, LONDON MSHAMBULIAJI wa kimatiafa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amekuwa sehemu ya kikosi cha Aston Villa kilichoinusu...
YANGA SC YAICHAPA LIPULI FC 1-0 SAMORA NA KUMALIZA KATIKA NAFASI YA PILI LIGI KUU TZ BARA7
Sunday, July 26, 2020
Na Mwandishi Wetu, IRINGA VIGOGO, Yanga SC wamefanikiwa kumaliza katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada y...
KAPTENI BOCCO APIGA ZOTE MBILI SIMBA SC YAICHAPA POLISI TANZANIA 2-1 UWANJA WA USHIRIKA
Sunday, July 26, 2020
Na Mwandishi Wetu, MOSHI MABINGWA wa Tanzania Bara, Simba SC wamemaliza kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Polisi Tanzania Uwanja wa Ush...
ALLIANCE FC, NDANDA SC, LIPULI FC ZAUNGANA NA SINGIDA UNITED KUSHUKA DARAJA LIGI KUU
Sunday, July 26, 2020
Na Mwandishi Wetu, MWANZA TIMU za Alliance FC ya Mwanza, Ndanda SC ya Mtwara na Lipuli FC ya Iringa zimeungana na Singida United kushuka d...
Saturday, July 25, 2020
PSG WAIPIGA AS SAINT-ETIENNE 1-0 NA KUTWAA KOMBE LA UFARANSA
Saturday, July 25, 2020
Wachezaji wa Paris Saint-Germain wakishangilia na Kombe la Ufaransa baada ya kukabidhiwa usiku wa jana kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya S...
Friday, July 24, 2020
RAIS MKAPA ALIYEWAPA WATANZANIA ZAWADI YA UWANJA WA KISASA WA MICHEZO AFARIKI DUNIA
Friday, July 24, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM RAIS mstaafu wa Serikali ya awamu ya tatu nchini, Benjamin William Mkapa aliyefanikisha ujenzi wa Uwanja ...
Thursday, July 23, 2020
COASTAL UNION 0-0 SIMBA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Thursday, July 23, 2020
DOMAYO AFUNGA BAO PEKEE AZAM FC YAICHAPA MBEYA CITY 1-0 NA KUREJEA NAFASI YA PILI LIGI KUU
Thursday, July 23, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BAO pekee la kiungo Frank Raymond Domayo dakika ya 70 limetosha kuipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Mbe...
SERGE WAWA PASCAL ATOLEWA KWA KADI NYEKUNDU SIMBA SC YATOKA SULUHU NA COASTAL UNION MKWAKWANI
Thursday, July 23, 2020
Na Mwandishi Wetu, TANGA PAMOJA na kucheza pungufu kwa robo saa yote ya mwisho ya mchezo, lakini mabingwa, Simba SC wamefanikiwa kulazimis...
MTIBWA SUGAR 1-1 YANGA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Thursday, July 23, 2020
LIVERPOOL WAKABIDHIWA KOMBE BAADA YA KUIPIGA CHELSEA 5-3
Thursday, July 23, 2020
Wachezaji wa Liverpool wakifurahia na Kombe lao la ubingwa wa Ligi Kuu ya England baada ya kukabidhiwa jana kufuatia mchezo dhidi ya Chel...
GREENWOOD AISAWAZISHIA MAN U YATOA SARE NA WEST HAM
Thursday, July 23, 2020
Mason Greenwood akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la kusawazisha dakika ya 51 ikitoa sare ya 1-1 na West Ham United i...
Subscribe to:
Posts (Atom)