Wachezaji wa Real Madrid wakimpongeza mwenzao, Toni Kroos baada ya kumtungua kipa Marko Dimitrovic kuifungia timu yake bao la kwanza dakika ya nne katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Eibar kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Alfredo Di Stefano Jijini Madrid. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Nahodha Sergio Ramos dakika ya 30 na Marcelo dakika ya 37, wakati bao pekee la Eibar lilifungwa na Pedro Biga dakika ya 60 na kwa ushindi huo kikosi cha Mfaransa, Zinedine Zidane kinafikisha pointi 59 katika mchezo wa 28, kikiendelea kuzidiwa pointi mbili na vinara na mabingwa watetezi, Barcelona baada ya wote kucheza mechi 28PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Noise machines installed by LA Home Depot ‘torture’ for day laborers,
advocates say
-
Advocates call for removal of machines and demand that company speak out
against ICE raids in parking lots
23 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment