Mshambuliaiji chipukizi, Vinicius Junior akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 19 kabla ya mkongwe, Sergio Ramos kufunga la pili dakika ya 56, Real Madrid ikiibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Mallorca kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Estadio Alfredo Di Stefano Jijini Madrid. Kwa ushindi huo, Real Madrid sasa inalingana tena kwa pointi na Barcelona, 68 kila moja baada ya wote kucheza mechi 31, lakini kikosi cha Zinedine Zidane kinakaa juu kikanuni PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ohio coach Brian Smith, 45, fired for affair with student in new scandal
amid Sherrone Moore's Michigan crisis
-
Brian Smith, 45, was dismissed by the school on Wednesday for what was
described 'serious professional misconduct,' shortly after he was placed on
administ...
39 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment