Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la ushindi dakika ya 70 kwa msaada wa VAR katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Real Sociedad kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Reale Arena, au Donostia-San Sebastian. Bao la kwanza la Real Madrid lilifungwa na Nahodha, Sergio Ramos kwa penalti dakika ya 50 wakati la Real Sociedad lilifungwa na Mikel Merino dakakika ya 83. Kwa ushindi huo Real Madrid inafikisha pointi 65, sawa na mabingwa watetezi, Barcelona baada ya wote kucheza mechi 30 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Giants Rumors: Brian Daboll, Joe Schoen 'Are Not a Duo' amid Hot-Seat Buzz
-
The New York Giants hired both general manager Joe Schoen and head coach
Brian Daboll ahead of the 2022 season, but that reportedly doesn't mean
they will…
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment