Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la nne dakika ya 69 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Anfield. Mabao mengine yalifungwa na Trent Alexander-Arnold dakika ya 23, Mohamed Salah na Fabinho na kwa ushindi huo Liverpool inahitaji ushindi katika mchezo ujao dhidi ya Manchester City Julai 2 kutawazwa rasmi kuwa mabingwa wapya wa England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Opposition watch: Keeping a close eye on Forest
-
Tuesday's Premier League opponents progressed in the Emirates FA Cup on
Saturday.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment