// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KOCHA MBELGIJI WA YANGA SC, LUC EYMAEL ATUA DAR NA MKEWE MPYA, KESHO KUIFUATA TIMU SHINYANGA KUIVAA MWADUI FC JUMAMOSI KAMBARAGE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KOCHA MBELGIJI WA YANGA SC, LUC EYMAEL ATUA DAR NA MKEWE MPYA, KESHO KUIFUATA TIMU SHINYANGA KUIVAA MWADUI FC JUMAMOSI KAMBARAGE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Wednesday, June 10, 2020

        KOCHA MBELGIJI WA YANGA SC, LUC EYMAEL ATUA DAR NA MKEWE MPYA, KESHO KUIFUATA TIMU SHINYANGA KUIVAA MWADUI FC JUMAMOSI KAMBARAGE

        Kocha Mbelgiji wa Yanga SC, Luc Eymael (katikati) akiwa na mkewe mpya, wa tatu (kushoto) baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) leo mchana kuungana na timu yake kwa ajili ya kumalizia msimu na kesho atasafiri kwa ndege kukifuata kikosi Shinyanga tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Jumamosi Uwanja wa Kambarage 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KOCHA MBELGIJI WA YANGA SC, LUC EYMAEL ATUA DAR NA MKEWE MPYA, KESHO KUIFUATA TIMU SHINYANGA KUIVAA MWADUI FC JUMAMOSI KAMBARAGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry