// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KAPTENI JOHN BOCCO NA KINARA WA MABAO NCHINI, MEDDIE KAGERE WOTE WAPO FITI SIMBA IKIJIANDAA KUIVAA MWADUI FC KESHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KAPTENI JOHN BOCCO NA KINARA WA MABAO NCHINI, MEDDIE KAGERE WOTE WAPO FITI SIMBA IKIJIANDAA KUIVAA MWADUI FC KESHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Friday, June 19, 2020

        KAPTENI JOHN BOCCO NA KINARA WA MABAO NCHINI, MEDDIE KAGERE WOTE WAPO FITI SIMBA IKIJIANDAA KUIVAA MWADUI FC KESHO

        Washambuliaji wa Simba SC, Nahodha John Bocco (kushoto) na Meddie Kagere (kulia) wakiwa makini kwenye mazoezi ya timu yao jana Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mwadui FC kesho Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salam
        Kiungo wa kimataifa wa Kenya, Francis Kahata akijaribu kumlamba chenga Nahodha wake, John Bocco  

        Hapa Nahodha na mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, John Bocco akimtoka mwenzake mazoezini
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KAPTENI JOHN BOCCO NA KINARA WA MABAO NCHINI, MEDDIE KAGERE WOTE WAPO FITI SIMBA IKIJIANDAA KUIVAA MWADUI FC KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry