Dani Ceballos akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la ushindi dakika ya 90 na ushei ikiwalaza Sheffield United 2-1 usiku wa jana Uwanja wa Bramall Lane katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la FA England. Bao lingine la Arsenal lilifungwa na Nicolas Pepe kwa penalti dakika ya 25, wakati la Sheffield United lilifungwa na David McGoldrick dakika ya 87 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Giants Rumors: Brian Daboll, Joe Schoen 'Are Not a Duo' amid Hot-Seat Buzz
-
The New York Giants hired both general manager Joe Schoen and head coach
Brian Daboll ahead of the 2022 season, but that reportedly doesn't mean
they will…
10 minutes ago
0 comments:
Post a Comment