// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 06/01/2020 - 07/01/2020 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 06/01/2020 - 07/01/2020 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, June 30, 2020
    YANGA SC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF BAADA YA KUICHAPA KAGERA SUGAR 2-1 TAIFA

    YANGA SC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF BAADA YA KUICHAPA KAGERA SUGAR 2-1 TAIFA

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM VIGOGO, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu ...
    Monday, June 29, 2020
    Sunday, June 28, 2020
    SIMBA SC YATWAA TAJI LA TATU MFULULIZO LIGI KUU BAADA YA SARE YA 0-0 NA PRISONS SOKOINE

    SIMBA SC YATWAA TAJI LA TATU MFULULIZO LIGI KUU BAADA YA SARE YA 0-0 NA PRISONS SOKOINE

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SIMBA SC wamefanikiwa kutwaa taji la tatu mfululizo la ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya sare...
    Saturday, June 27, 2020
    SAMATTA ACHEZA MECHI YOTE ASTON VILLA YACHAPWA 1-0 NA WOLVERHAMPTON WANDERERS NYUMBANI

    SAMATTA ACHEZA MECHI YOTE ASTON VILLA YACHAPWA 1-0 NA WOLVERHAMPTON WANDERERS NYUMBANI

    Na Mwandishi Wetu, Birmingham MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta leo amecheza kwa dakika zote timu yake, Aston Vil...
    YANGA SC YATOKA NYUMA YAWACHAPA NDANDA 3-2 TAIFA NA KUREJEA NAFASI YA PILI LIGI KUU

    YANGA SC YATOKA NYUMA YAWACHAPA NDANDA 3-2 TAIFA NA KUREJEA NAFASI YA PILI LIGI KUU

    Na Mwandshi Wetu, DAR ES SALAAM VIGOGO Yanga SC wametokea nyuma na kushinda 3-2 dhidi ya Ndanda SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania B...
    Friday, June 26, 2020
    LAMINE MORO AFUNGIWA MECHI TATU NA FAINI SH 500,000 KWA KUMPIGA TEKE MWINYI KAZIMOTO

    LAMINE MORO AFUNGIWA MECHI TATU NA FAINI SH 500,000 KWA KUMPIGA TEKE MWINYI KAZIMOTO

    Na Mwandshi Wetu, DAR E SAALAM BEKI wa Yanga SC, Lamine Moro amefungiwa mechi tatu na kupigwa faini ya Sh. 500,000 kwa kosa la kumkanyaga ...
    SERIKALI YAZUIA MASHABIKI KUINGIA MECHI ZA SIMBA NA YANGA MIKOANI, MBEYA CITY YAKIONA CHA MOTO

    SERIKALI YAZUIA MASHABIKI KUINGIA MECHI ZA SIMBA NA YANGA MIKOANI, MBEYA CITY YAKIONA CHA MOTO

    Na Mwandshi Wetu, DAR E SAALAM SERIKALI imeizuia Mbeya City kucheza na mashabiki katika uwanja wake wa nyumbani wa Sokoine Jijini Mbeya, i...
    Thursday, June 25, 2020
    SAMATTA ACHEZA HADI MWISHO ASTON VILLA YATOA SARE YA 1-1 NA NEWCASTLE ST. JAMES' PARK

    SAMATTA ACHEZA HADI MWISHO ASTON VILLA YATOA SARE YA 1-1 NA NEWCASTLE ST. JAMES' PARK

    Na Mwandshi Wetu, NEWCASTLE MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana amecheza muda wote, Aston Villa ikitoa sare ya...
    Wednesday, June 24, 2020
    MOLINGA ATOKEA BENCHI NA KUPIGA MBILI KUINUSURU YANGA SC KUPIGWA NA NAMUNGO TAIFA

    MOLINGA ATOKEA BENCHI NA KUPIGA MBILI KUINUSURU YANGA SC KUPIGWA NA NAMUNGO TAIFA

    Na Mwandishi Wetu, MBEYA VIGOGO, Yanga SC wameponea chupuchupu kuchapwa nyumbani na Namungo FC baada ya kulazimisha sare ya 2-2 katika mch...
    SIMBA SC WAANZA KUNUKIA UBINGWA WA TATU MFULULIZO BAADA YA KUIPIGA MBEYA CITY 2-0 SOKOINE

    SIMBA SC WAANZA KUNUKIA UBINGWA WA TATU MFULULIZO BAADA YA KUIPIGA MBEYA CITY 2-0 SOKOINE

    Na Mwandishi Wetu, MBEYA SIMBA SC wamezidi kujisogeza jirani na taji la tatu mfululizo la ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya us...
    Tuesday, June 23, 2020
    MTIBWA SUGAR YAWATANDIKA SINGIDA UNITED 3-1, TANZANA PRISONS NA JKT TANZANIA ZATOKA SARE

    MTIBWA SUGAR YAWATANDIKA SINGIDA UNITED 3-1, TANZANA PRISONS NA JKT TANZANIA ZATOKA SARE

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Mtibwa Sugar imepata ushindi wa ugenini wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Singida United jioni ya leo kati...
    AZAM FC WALIVYOWASILI MJINI BUKOBA LEO KWA NDEGE MAALUM TAYARI KUIVAA KAGERA SUGAR KESHO KAITABA

    AZAM FC WALIVYOWASILI MJINI BUKOBA LEO KWA NDEGE MAALUM TAYARI KUIVAA KAGERA SUGAR KESHO KAITABA

    Kiungo wa Azam FC, Mudathir Yahya akiteremka kwenye ndege baada ya kikosi cha timu hiyo kuwasili mjini Bukoba asubuhi ya leo tayari kwa m...
    SIMBA SC WAKIFANYA MAZOEZI JIJINI MBEYA KUJIANDAA NA MCHEZO WA LIGI KUU KESHO DHIDI YA MBEYA CITY

    SIMBA SC WAKIFANYA MAZOEZI JIJINI MBEYA KUJIANDAA NA MCHEZO WA LIGI KUU KESHO DHIDI YA MBEYA CITY

    Wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi mazoezi leo Jijini Mbeya kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji,...
    Monday, June 22, 2020
    AZAM FC YALALAMIKA KUNYIMWA MABAO MAWILI NA PENALTI DHIDI YA  YANGA JANA TAIFA

    AZAM FC YALALAMIKA KUNYIMWA MABAO MAWILI NA PENALTI DHIDI YA YANGA JANA TAIFA

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM UONGOZI wa klabu ya Azam FC umesema kwamba haujaridhishwa na maamuzi ya waamuzi wa  mchezo wao wa Ligi Ku...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top