// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AWAKABIDHI TANZANIA PRISONS BASI DOGO JIPYAA WATUMIE KWA SAFARI ZA MECHI ZAO ZA LIGI KUU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AWAKABIDHI TANZANIA PRISONS BASI DOGO JIPYAA WATUMIE KWA SAFARI ZA MECHI ZAO ZA LIGI KUU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, May 18, 2020

    KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AWAKABIDHI TANZANIA PRISONS BASI DOGO JIPYAA WATUMIE KWA SAFARI ZA MECHI ZAO ZA LIGI KUU

    Basi dogo aina ya Coaster ambalo leo Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Suleiman Mzee ameipatia timu ya soka ya jeshi hilo, Tanzania Prisons kwa ajili ya matumizi ya safari zake mbalimbali zikiwemo za kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara iliyomama kwa sasa kwa sababu ya hofu ya maambukizi ya virusi vya corona
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AWAKABIDHI TANZANIA PRISONS BASI DOGO JIPYAA WATUMIE KWA SAFARI ZA MECHI ZAO ZA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top