Promota Eddie Hearn amesema pambano la ngumi za kulipwa la uzito wa juu kati ya Dillian Whyte (kushoto) na Alexander Povetkin (kulia) litafanyika bila watazamaji ukumbi wa Manchester Arena, England mwishoni mwa Julai au mwanzoni mwa Agosti kutokana na hofu ya maambukizi ya virusi vya corona kipindi hiki misongamano ya watu imezuiwa duniani kote sababu ya mlipuko wa virusi hivyo vinavyosababisha ugonjwa hatari wa COVID 19
Opposition watch: Keeping a close eye on Forest
-
Tuesday's Premier League opponents progressed in the Emirates FA Cup on
Saturday.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment