Mshambuliaji wa Azam FC, Shaaban Iddi Chilunda akikokota mpira jana katika siku ya kwanza ya timu yake kurejea mazoezini kujiandaa kumalizia msimu baada ya zuio la tangu katikati ya Machi kwa hofu ya mambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
Kiungo wa Azam FC, Iddi Suleiman Nado akikokota mpira jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam
Kiungo wa Azam FC, Frank Raymond Domayo akichezea mpira jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam
Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akikimbia mazoezini wanja wa Azam Complex jana

0 comments:
Post a Comment