
Sunday, May 31, 2020

WACHEZAJI wa Simba SC kutoka kulia kiungo mshambuliaji Bakari Iddi, beki Fikiri Magoso na mshambuliaji Gabriel ‘Gebo’ Peter Magali (sasa ...
Saturday, May 30, 2020
BEKI MKONGWE, SALUM KANONI KUPELA AKIWAONGOZA WACHEZAJI WENZAKE MTIBWA SUGAR MAZOEZINI MANUNGU
Saturday, May 30, 2020
Beki mkongwe wa Mtibwa Sugar, Salum Kanoni Kupela akikokota mpira mazoezini Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro kujiandaa kumalizi...
MBWANA SAMATTA AFICHUA; “UMALIZIAJI AU KULENGA SHABAHA NDIYO ZOEZI NINALOLIPENDA ZAIDI”
Saturday, May 30, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amesema kwamba anapenda zaidi kujifunza kufung...
NI MZIGO MZITO CHRISTIAN BELLA ANABEBESHWA, DANSI HAILIPI TENA
Saturday, May 30, 2020
NAKUMBUKA wakati ajali ya MV Bukoba ilipotokea mwaka 1996 na kukatisha uhai wa mamia ya Watanzania, nilipata kumshuhudia mmoja wa waombolez...
Friday, May 29, 2020
MAMBO YA KUZINGATIA MICHEZONI WAKATI WA MAAMBUKIZI YA CORONA
Friday, May 29, 2020
Na Mwandishi Wetu, DODOMA UTANGULIZI; Kufuatia kuwepo kwa ugonjwa wa CoVID-19 unaotokana na Virusi vya Corona nchini ambao uliripotiwa kwa...
SIMBA NA YANGA ZINAWEZA KUKUTANA TENA NUSU FAINALI YA AZAM SPORTS FEDERATION CUP
Friday, May 29, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM VIGOGO, Simba na Yanga wanaweza kukutana kwa mara ya tatu msimu iwapo watavuka hatua ya Robo ya Fainali y...
MECHI ZOTE ZILIZOSALIA ZA LIGI KUU TANZANIA BARA KUCHEZWA NYUMBANI NA UGENINI KUANZIA JUNI 13
Friday, May 29, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MECHI zilizosalia za Ligi Kuu ya Tanzania Bara itachezwa kwa mfumo wa nyumbani na ugenini kuanzia Juni 13...
Thursday, May 28, 2020
JEZI MPYA ZA MSIMU UJAO ZA MANCHESTER UNITED ZIMEVUJA, HIZI HAPA
Thursday, May 28, 2020
Jezi mpya za msimu ujao, 2020-21 za Manchester United zimevuja kwenye mitandao kama unavyoweza kujonea, vipi ni nzuri? PICHA ZAIDI GONGA...
MAFUNDI JONAS MKUDE, DEO KANDA NA NYOA WENGINE MAZEOZINI JANA SIMBA SC IKIJIANDAA KUMALIZIA SHUGHULI
Thursday, May 28, 2020
Viungo wa Simba SC, Jonas Mkude (kushoto) na Mkongo Deo Kanda (kula) wakikimbia jana Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju Jijini Dar es Salaam...
KAPTENI PAPY KABAMBA TSHISHIMBI ALIVYOWAONGOZA WACHEZAJI WENZAKE YANGA MAZOEZINI JANA DAR
Thursday, May 28, 2020
Nahodha wa Yanga, kiungo Mkongo Papy Kabamba Tshishimbi (kushoto) akikimbia na beki Ali Ahmad Ali jana katika siku ya kwanza ya timu yak...
AZAM FC WALIVYOREJEA MAZOEZINI JANA CHAMAZI KUJIANDAA KUMALIZIA MSIMU
Thursday, May 28, 2020
Mshambuliaji wa Azam FC, Shaaban Iddi Chilunda akikokota mpira jana katika siku ya kwanza ya timu yake kurejea mazoezini kujiandaa kumal...
Wednesday, May 27, 2020
BARCA YATUMIA JANGA LA CORONA KUJIONGEZEA PATO, YAUZA BARAKOA
Wednesday, May 27, 2020
KLABU ya Barcelona imekitumia kwa manufaa kipindi cha maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19 kwa kutoa Barak...
WACHEZAJI WA SIMBA SC WAFANYIWA VIPIMO MBALIMBALI KABLA YA KUANZA MAZOEZI LEO KUJIANDAA KUMALIZIA MSIMU
Wednesday, May 27, 2020
Daktari akimpima beki wa Simba SC leo tayari kuanza mazoezi kujiandaa kumalizia msimu baada ya zuio la tangu katikati ya Machi kwa hofu y...
WACHEZAJI YANGA SC WALIPOPIMWA CORONA JANA TAYARI KUANZA MAZOEZI KUJIANDAA KUMALIZIA LIGI KUU
Wednesday, May 27, 2020
Daktari wa Yanga SC, Shecky Mngazija (kushoto) akiwapima wachezaji wa timu hiyo jana tayari kuanza mazoezi kujiandaa kumalizia msimu baad...
KOCHA MRUNDI KUANZA KUINOA AZAM FC KUJIANDAA KUMALIZIA MSIMU WA LIGI KUU
Wednesday, May 27, 2020
Na Mwandshi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Mrundi Bahati Vivier, tayari yupo nchini kuanza kazi ya kuinoa timu hiyo, inayo...
BAYERN MUNICH YAIPIGA BORUSSIA DORTMUND 1-0 UJERUMANI
Wednesday, May 27, 2020
Joshua Kimmich akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich bao pekee dakika ya 43 ikiwalaza wenyeji, Borussia Dortmund 1-0 kwenye mchez...
Tuesday, May 26, 2020
CRISTIANO RONALDO AFANYA MAZOEZI YA PEKE YAKE JUVUNTUS
Tuesday, May 26, 2020
Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akifanya mazoezi pembeni ya wachezaji wenzake wa Juventus baada ya kurejea kufuatia mapumziko ya tangu kat...
BAO AMBALO SAMATTA ALIWAFUNGA LIVERPOOL UWANJA WA ANFIELD LASHINDA TUZO KRC GENK
Tuesday, May 26, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BAO alilofunga Mbwana Ally Samatta akiwa KRC Genk ya Ubelgji dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa Ligi ya ...
MKALI WA MABAO, MEDDIE KAGERE AWASILI DAR TAYARI KUANZA MAZOEZI SIMBA SC KESHO KUJIANDAA KUMALIZIA LIGI KUU
Tuesday, May 26, 2020
Mshambuliaji wa Simba SC, Meddie Kagere (kushoto) akiwa na Mratibu wa timu hiyo, Abbas Suleiman baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kima...
CHINA: MWALUSAKO ALINIPIGANIA NIPANGWE YANGA NIKIWA MDOGO
Tuesday, May 26, 2020
“Nimepatwa na mshituko mkubwa kupokea taarifa za habari za kifo chako kaka (Lawrence Peter Mwalusako). Nikiwa ni muumini wa kukubali uwezo...
Monday, May 25, 2020
MCHEZAJI NA KIONGOZI WA ZAMANI WA YANGA SC AFARIKI DUNIA LEO HOSPITALI YA MUHIMBILI
Monday, May 25, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BEKI wa zamani wa klabu ya Yanga, Lawrcence Mwalusako amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya...
Sunday, May 24, 2020
KLITSCHKO AMTEMBELEA EVANDER AKIJIANDAA KUMVAA MIKE TYSON
Sunday, May 24, 2020
Gwiji wa ndondi, Evander Holyfield akisalimiana na Wladimir Klitschko aliyemtembelea mazoezini mkongwe huyo katika kambi yake ya kujianda...
JANGA LA CORONA LIMETUPA ELIMU GANI KWENYE MCHEZO WA SOKA
Sunday, May 24, 2020
Na Ibrah Mkemia, DAR ES SALAAM "DUNIA ni Uwanja wa mapambano na kama utakuwa uko timamu basi inakuwa rahisi kwa wewe kushinda mapamba...
BAYERN MUNICH YAICHAPA FRANKFURT 5-2 BUNDESLIGA
Sunday, May 24, 2020
Wachezaji wa Bayern Munich wakishangilia ushindi wao wa 5-2 dhidi ya Frankfurt katika mchezo wa Bundesliga, mabao ya Leon Goretzka dakika...
YANGA SC ILIPOICHAPA SIMBA 1-0 1992 BAO PEKEE LA KENNY MKAPA
Sunday, May 24, 2020
Wachezaji wa Yanga SC kutoka kulia Salum Kabunda ‘Ninja’ (sasa marehemu), Kenny Mkapa, Abeid Mziba, Method Mogella, David Mwakalebela, Sa...
SIMBA SC KUANZA MAZOEZI YA PAMOJA JUMATANO KUJIANDAA KUMALIZIA LIGI KUU NA ASFC
Sunday, May 24, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Simba SC wanatarjiwa kuanza mazoezi ya pamoja Jumatano baada ya kuvunja kambi tangu ka...
Subscribe to:
Posts (Atom)