Kipa namba moja wa Simba SC na timu ya taifa, Taifa Stars, Aishi Salum Manula akijifua peke yake nyumbani kwao, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi kwa sababu ya mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona dunia nzima vinavyosababishwa ugonjwa wa COVID 19

0 comments:
Post a Comment