Mshambuliaji wa Mbao FC Said Khamis Said, maarufu kama Said Junior amejiunga na klabu ya Baniyas SC ya Al Shamkha, Abu Dhabi, Falme za Kiarabu (UAE) kwa mkataba wa miaka mitatu, akijunga na chipukizi mwingine, John Tibar George aliyesajiliwa kutoka MFK Vyskov ya Daraja la Pili ya Czech, baada ya kuzichezea Ndanda FC na Singida United za nyumbani
Wales defender Cabango signs new Swansea deal
-
Centre-back Ben Cabango has signed a new contract to remain with Swansea
City.
31 minutes ago
0 comments:
Post a Comment