// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AMBAVYO SHAABAN IDDI CHILUNDA, NYOTA WA AZAM FC ANA VIFAA VINGI MAALUM KWA MAZOEZI BINAFSI NYUMBANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AMBAVYO SHAABAN IDDI CHILUNDA, NYOTA WA AZAM FC ANA VIFAA VINGI MAALUM KWA MAZOEZI BINAFSI NYUMBANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Tuesday, April 21, 2020

        AMBAVYO SHAABAN IDDI CHILUNDA, NYOTA WA AZAM FC ANA VIFAA VINGI MAALUM KWA MAZOEZI BINAFSI NYUMBANI

        Mshambuliaji wa Azam FC, Shaaban Iddi Chilunda akifanya mazoezi binafsi nyumbani kwake kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi ya timu zake zote kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona duniani kote vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
        Hapa Shaaban Iddi Chilunda anafanya mazoezi ya tumbo katika kifaa maalum alichonacho nyumbani kwake 
        Hapa Shaaban Iddi Chilunda anafanya mazoezi ya kunyonga baiskeli maalum isiyotembea aliyonacho nyumbani kwake 
        Hapa Shaaban Iddi Chilunda anafanya mazoezi ya tumbo na eneo lote la juu la mwili 
        Shaaban Iddi Chilunda ana vifaa vingi maalum kwa mazoezi ya nyumbani
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: AMBAVYO SHAABAN IDDI CHILUNDA, NYOTA WA AZAM FC ANA VIFAA VINGI MAALUM KWA MAZOEZI BINAFSI NYUMBANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry