
Thursday, April 30, 2020

Na Ibrah Mkemia, DAR ES SALAAM NIANZE kwa kuliombea na kulitakia afya njema Taifa langu la Tanzania, Taifa ambalo lina watu wakarimu na ...
Wednesday, April 29, 2020
SOKA YA TANZANIA BADO NI RIDHAA, SI YA KULIPWA KAMA TUNAVYOAMINI
Wednesday, April 29, 2020
Na Ally Msigwa, IRINGA Kwa Tanzania, Soka ni Ajira kama Ajira zingine Huku Tukiamini Ni Sahihi, Tunaamini Soka ni Professionalism kwa Asp...
Tuesday, April 28, 2020
HARUNA HAKIZIMANA NIYONZIMA SASA MUME WA WAKE WAWILI, AOA NA BINTI WA KITANZANIA BAGAMOYO
Tuesday, April 28, 2020
Kiungo Mnyarwanda wa Yanga SC, Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima akiwa na mke wake wa pili, Mtanzania baada ya kufunga ndoa hivi karibuni ...
KWA KOCHA JOSE MOURINHO BARAKOA NI YA KUSHIKA MKONONI TU
Tuesday, April 28, 2020
Kocha Mreno wa Tottenham Hotspur ya England, Jose Mourinho akitembea huku ameshika barakoa mkononi kipindi hiki klabu yake imesitisha maz...
MACHO YA WAPENDA KANDANDA HUPENDA KUTAZAMA SOKA SAFI
Tuesday, April 28, 2020
Na Ibrah Mkemia, DAR ES SALAAM MOJA ya vitu ambavyo watanzania wengi wameshindwa, ni kufanya utalii hasa ule wa ndani ya nchi. Tanzania ni...
PAPY KABAMBA TSHISHIMBI ADHIHIRISHA MAPENZI YAKE KWA TANZANIA BAADA YA KUVAA JEZI YA TAIFA STARS
Tuesday, April 28, 2020
Kiungo Papy Kabamba Tshishimbi (kushoto), raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) akiwa amevaa jezi ya timu ya taifa ya Tanzania t...
MLINDA MLANGO BENO KAKOLANYA ANAPOMAANISHA ANACHOKISEMA KUHUSU MAISHA YAKE SIMBA SC
Tuesday, April 28, 2020
Kipa wa pili wa Simba SC, Beno David Kakolanya akiwa ametulia nyumbani kwake, Mwanjelwa mkoani Mbeya kipindi hiki klabu yake imesitisha m...
MIRAJ ATHUMANI MADENGE 'SHEVA' ANAVYOFANYA MAZOEZI UFUKWENI KUJIWEKA FITI AREJESHE MAKALI MSIMBAZI
Tuesday, April 28, 2020
Mshambuliaji wa Simba SC, Miraj Athumani Madenge 'Sheva' akifanya mazoezi ya kukimbia ufukweni kujiweka fiti kipindi hiki klabu y...
IBRAHIM AJIBU MIGOMBA ANAVYOKAMUA KWA BIDII GYM KUJIWEKA FITI AREJESHE HESHIMA SIMBA SC
Tuesday, April 28, 2020
Kiungo wa Simba SC, Ibrahim Ajibu Migomba akifanya mazoezi gym kujiweka fiti kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi kutokana na mlipu...
Monday, April 27, 2020
MKALI WA MABAO LIGI KUU YA TANZANIA, MEDDIE KAGERE ANAENDELA VIZURI KABISA NYUMBANI KWAO, KIGALI
Monday, April 27, 2020
Mshambuliaji Mnyarwanda mwenye asili ya Uganda, Meddie Kagere anayechezea Simba SC ya Dar es Salaam akiwa nyumbani kwake, Kigali kipindi ...
MSHAMBULIAJI WA AZAM FC BARAKA YUSSUF NI MMOJA WA WANASOKA WANAOZINGATIA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA
Monday, April 27, 2020
Mshambuliaji wa Azam FC, Mbaraka Yussuf akiwa amevaa barakoa kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa COVID...
NAHODHA MSAIDIZI 'YANGA AFRIKA' JUMA ABDUL JAFFAR MNYAMANI AKIJIFUA BARABARANI KUILINDA PUMZI YAKE
Monday, April 27, 2020
Nahodha Msaidizi wa Yanga SC, Juma Abdul Jaffar Mnyamani akifanya mazoezi binafasi kujiweka fiti kipindi klabu yake imesitisha mazoezi ya...
KELELE ZA MPIGA KELELE AMBAYE HAONEKANI KATIKA SOKA LETU
Monday, April 27, 2020
Na Dominick Salamba, DAR ES SALAAM BAADA ya kufungua macho yangu na kuianza asubuhi yangu ya jumatatu hii, hakika ilikuwa asubuhi yenye st...
Sunday, April 26, 2020
KUNA TATIZO ZAIDI YA IDADI YA WACHEZAJI WA KIGENI LIGI KUU
Sunday, April 26, 2020
Na Ibrah Mkemia, DAR ES SALAAM WAKATI dunia ikipambana na ugonjwa hatari wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya covid_19 (cor...
ISSA ATHUMANI NA MDOGO WAKE, KASONGO SIMBA NA YANGA 1993
Sunday, April 26, 2020
Wanasoka ndugu, beki Kasongo Athumani Mgaya wa Simba SC (kushoto) akiwania mpira dhidi ya kaka yake, Issa Athumani Mgaya wa Yanga SC (sas...
Saturday, April 25, 2020
RONALDO ANAVYOJIFUA KWA BIDII ILI AENDEE KUWA FITI ZAIDI
Saturday, April 25, 2020
Mshambuliaji Mreno wa Juventus ya Italia, Cristiano Ronaldo akifanya mazoezi binafsi kipindi hiki timu zao zimesitisha mazoezi kwa sababu...
KIUNGO MKENYA WA SIMBA SC, FRANCIS KAHATA NYAMBURA AKIJFANYA MAZOEZI BINAFSI KWAO NAIROBI NA BARAKOA YAKE
Saturday, April 25, 2020
Kiungo Mkenya wa Simba SC ya Dar es Salaam, Francs Kahata Nyambura akifanya mazoezi peke yake kwao na barakoa Jijini Nairobi kipindi hiki...
KIPA MKONGWE JUMA KASEJA ANAVYOJIFUA PEKE YAKE KUHAKIKISHA ANAKUWA FITI ZAIDI NA KUENDELEA KUFANYA VIZURI KATIKA SOKA
Saturday, April 25, 2020
Kipa mkongwe nchini, Juma Kaseja anayechezea KMC ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam akiruka juu kudaka mpira wakati wa mazoezi yake binafs...
MSHAMBULIAJI WA MTIBWA SUGAR, STAHMIL MBONDE ANAVYOZINGATIA TAHADHARI KUJINGA NA MAAMBUKIZI YA COVID 19
Saturday, April 25, 2020
Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar ya Morogoro, Stahmil Mbonde akiwa amevaa barakoa sare yeye pamoja na wanawe nyumbani kujinga maambukizi ya v...
WASHAMBULIAJI WAWILI NDUGU, DANIEL NA MDOGO WAKE AYOUB LYANGA WAKIFANYA MAZOEZI YA PAMOJA NYUMBANI KUJIWEKA FITI
Saturday, April 25, 2020
Wachezaji wawili ndugu, washambuliaji Daniel Lyanga wa JKT Tanzania (kulia) na mdogo wake, Ayoub Lyanga wa Coastal Union wakifanya mazoez...
Friday, April 24, 2020
MRISHO NGASSA ALIPOCHANGAMKIA OFA YA VIFAA VYA MICHEZO KWENYE DUKA MDHAMINI WA YANGA SC LEO
Friday, April 24, 2020
Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Khalfan Ngassa (kulia) akiwa na Afisa wa Idara ya Habari ya Yanga SC, Antonio Nugaz leo kwenye ...
MNAJUA KWAMBA KIPRE TCHETCHE ALIYEKUWA AZAM NA KPAH SHERMAN WA YANGA SASA WANACHEZA TIMU MOJA MALAYSIA?
Friday, April 24, 2020
Mshambuliaji wa zamani wa Azam FC, Muivory Coast, Kipre Herman Tchetche (kulia) akiwa na mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC, Mliberia Kpa...
KIUNGO WA SIMBA SC, SAID HAMISI NDEMLA ALIPOMSINDIKIZA BEKI WA YANGA SC, ALLY MTONI 'SONSO' KUOA DAR
Friday, April 24, 2020
Beki wa Yanga SC, Ally Abdulkarim Mtoni 'Sonso' akiwa na mkewe baada ya kufunga ndoa jana Mbagala Jijini Dar es Salaam. Ally...
Thursday, April 23, 2020
MSHAMBULIAJI MZAMBIA, OBREY CHIRWA ASAINI MKATABA MPYA WA KUPIGA KAZI AZAM FC HADI MWAKA 2021
Thursday, April 23, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Obrey Chirwa, ameongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kusalia ndani ya timu h...
AMBAVYO 'KAPTENI DIEGO', MBWANA ALLY SAMATTA YUKO FITI KABISA NA ANACHUKUA TAHADHARI ZOTE ZA CORONAJIJINI
Thursday, April 23, 2020
Mshambuliaji Mtanzania, Mbwana Ally Samatta 'Kapteni Diego' anayechezea Aston Villa ya England akiwa amevaa Barakoa Jijini Birmin...
MKALI WAO, BERNARD MORRSON ANAVYOFURAHIA MAISHA KATIKA KLABU YAKE MPYA, YANGA YA DAR ES SALAAM
Thursday, April 23, 2020
Kiungo Mghana aliyejiunga na Yanga SC ya Dar es Salaam Januari mwaka huu, Bernard Morrison akifurahia maisha kipindi hiki klabu yake imes...
FUNDI MZAMBIA WA SIMBA SC CLATOUS CHOTA CHAMA AKIJIFUA NA MKEWE NYUMBANI KUJIWEKA FITI
Thursday, April 23, 2020
Kiungo Mzambia wa Simba SC ya Dar es Salaam, Clatous Chota Chama akifanya mazoezi na mkewe nyumbani kipindi hiki klabu yake imesitisha ma...
Wednesday, April 22, 2020
HATIMAYE UKARABATI WA UWANJA WA AZAM COMPLEX WAKAMILIKA CHAMAZI, SASA WAFANANA NA WA TP MAZEMBE
Wednesday, April 22, 2020
Hatimaye ukarabati wa Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Jijini Dar es Salaam umekamilika na sasa kinachosubiriwa ni kurejea kwa Ligi...
UKISIKIA MAHABA NIUE, NDIYO HAYA YA HASSAN RAMADHANI KESSY NA ASHA RASHID 'MWALALA' NYOTA WA TIMU ZA TAIFA TANZANIA
Wednesday, April 22, 2020
Beki wa timu ya taifa ya wanaume ya Tanzania, 'Taifa Stars', Hassan Ramadhani Kessy (kushoto) akiwa na mpenzi wake, Asha Rashid ...
Tuesday, April 21, 2020
RONALDO ANAVYOJIFUA NYUMBANI KWAKE KUJIWEKA FITI ZAIDI
Tuesday, April 21, 2020
Nyota wa Juventus, Cristiano Ronaldo akifanya mazoezi binafsi nyumbani kwake kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi kutokana na mlipu...
KAPTENI KABISA, PAPY KABAMBA TSHISHIMBI NA NDUGU ZAKE TAYARI KUPIGA 'TIZI' LA KUTOSHA KUUWEKA MWILI SAWA
Tuesday, April 21, 2020
Nahodha wa Yanga SC, Papy Kabamba Tshshimbi akiwa na ndugu zake tayari kufanya mazoezi binafsi nyumbani kwa kiungo huyo kutoka Jamhuri ya...
AMBAVYO SHAABAN IDDI CHILUNDA, NYOTA WA AZAM FC ANA VIFAA VINGI MAALUM KWA MAZOEZI BINAFSI NYUMBANI
Tuesday, April 21, 2020
Mshambuliaji wa Azam FC, Shaaban Iddi Chilunda akifanya mazoezi binafsi nyumbani kwake kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi ya timu...
Monday, April 20, 2020
WACHEZAJI WA YANGA WAZURU DUKA LA MDHAMINI WAO, GSM MLIMANI CITY NA KUPATWA VIFAA VYA KUFANYIA MAZOEZI NYUMBANI
Monday, April 20, 2020
Wachezaji wa Yanga wakiwa kwenye duka la vifaa vya michezo la mdhamini wao, GSM lililopo Mlimani City Jijini Dar es Salaam, ambako walite...
BEKI WA SIMBA SC, GARDIEL MICHAEL MBAGA AFIWA NA BABA YAKE MZAZI MKOANI MOROGORO
Monday, April 20, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BEKI wa kushoto wa klabu ya Simba, Gardiel Michael Mbaga amefiwa na baba yake mzazi, Michael Mbaga Kamagi...
Subscribe to:
Posts (Atom)