Bondia Tyson Fury (kushoto) na Deontay Wilder (chini kulia) watapigana kwa mara ya tatu Julai 18 mwaka huu ukumbi wa MGM Jinini Las Vegas. Mapambano mawili ya awali, Desemba 1, 2018 walitoka droo ukumbi wa Staples Center Jijini Los Angeles na Februari 22 Fury alishinda kwa Knockout (TKO) raundi ya saba hapo hapo MGM Grand PICHA ZAIDI GONGA HAPA
I’m not surprised at Kwame Opoku’s performance against Bibiani
GoldStars – Prosper Ogum
-
Asante Kotoko head coach Prosper Narteh Ogum said he is not surprised at
the performance of striker Kwame Opoku against Bibiani GoldStars on Friday
in the ...
29 minutes ago
0 comments:
Post a Comment