KIKOSI cha 82 Rangers ya Shinyanga kabla ya mechi na Simba SC iliyomalizika kwa sare ya 2-2 Agosti 31, mwaka 2002 Uwanja wa Kambarage mkoan Shinyanga. Waliosimama kutoka kulia ni Emmanuel Kingu, Shamte Mathias, Victor Isaac, Karume Songoro na Mohamed Pwani. Waliochuchumaa kutoka kulia ni Said Mzezere ‘Panya Boy’, Ally Mrisho ‘Madonso’, Medard Barongo, Jemedari Said na Richard Mganga ‘Yondo’.
Week 17 Fantasy Football Rankings: Top Players, Sleepers and Positional
Guide
-
Kyren Williams is one superstar running back who figures to have a big game
in Week 17 as the Los Angeles Rams seek to wrap up the NFC West. He is a…
19 minutes ago
0 comments:
Post a Comment