
Tuesday, March 31, 2020

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM ALIYEKUWA Mjumbe wa Kamati ya Uchaguzi ya klabu ya Simba, Idd Hashimu Mbitta amefariki dunia Alfajiri ya ...
HUU NDIYO 'MSOSI' ANAOGONGA KIUNGO MSHAMBULIAJI HATARI WA YANGA SC, BERNARD MORRISON, MBOGA...
Tuesday, March 31, 2020
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Bernard Morrison akiwa ameshika ugali wa dona kabla ya kjuanza kula katika picha hii ambayo ameipo...
Monday, March 30, 2020
KAKOLANYA HANA KINYONGO NA AISHI MANULA KUDAKA MECHI NYINGI ZAIDI YAKE SIMBA SC
Monday, March 30, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIPA wa pili wa Simba SC, Benno David Kakolanya amesema kwamba hana kinyongo mwenzake, Aishi Salum Manula...
Sunday, March 29, 2020
KIUNGO WA SIMBA SC, FRANCS KAHATA NYAMBURA AGAWA LITA 10,000 ZA MAJI SAFI KWAO MATHARE KUSAIDIA JAMII DHIDI YA CORONA
Sunday, March 29, 2020
KIUNGO wa Simba SC, Francis Kahata Nyambura leo ametoa msaada wa maji safi lita 10, 000 katika eneo la Mathare nyumbani kwao, Jijini Nair...
NYOTA WA TP MAZEMBE, MTANZANIA THOMAS EMMANUEL ULIMWENGU AKIFANYA MAZOEZI YA VIUNGO NYUMBANI LUBUMBASHI
Sunday, March 29, 2020
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Emanuel Ulimwengu akifanya mazoezi ya viungo nyumbani kwake mjini Lubumbashi, Jamhuri ya Ki...
Saturday, March 28, 2020
NYOTA WA MAN UNITED, ANTHONY MARTIAL NA MWONEKANO MPYA
Saturday, March 28, 2020
Mshambuliaji Mfaransa wa klabu ya Manchester United, Anthony Jordan Martial akionyesha mwonekano mpya kichwani kwake baada ya kunyoa nywe...
MSHAMBULIAJI WA MTIBWA SUGAR YA MOROGORO, STAHMIL MBONDE NAYE 'ACHUKUA JIKO' LEO MAPEMAA
Saturday, March 28, 2020
Mshambuliaji wa timu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro, Stahmil Mbonde akiwa na mkewe baada ya kufunga ndoa leo Jijini Dar es Salaam Mshambu...
RONALDO ANUNUA BUGATTI CENTODIECI SPORTS PAUNI MILIONI 8.5
Saturday, March 28, 2020
Mshambuliaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo ameripotiwa kutoa Pauni Milioni 8.5 kununua Bugatti Centodieci, toleo maalum sports ambayo ni...
NYOTA WA KLABU YA AZAM FC NA TAiFA STARS SHAABAN IDDI CHILUNDA AUAGA UKAPERA BAADA YA KUFUNGA NDOA DAR
Saturday, March 28, 2020
Mshambuliaji wa Azam FC, Shaaban Iddi Chilunda (kushoto) akimvisha pete mkewe baada ya kufunga ndoa jana Jijini Dar es Salaam Mshambul...
MSHAMBULIAJI CHIPUKIZI MTANZANIA ASAINI MKATABA WA KUJIUNGA NA NYASA BIG BULLETS YA MALAWI
Saturday, March 28, 2020
Mshambuliaji chipukizi Mtanzania, Meshack Suleiman mwenye umri wa miaka 22 akisaini mkataba wa kujiunga na klabu ya Nyasa Big Bullets, za...
Friday, March 27, 2020
DK MSOLLA AWASIMAMISHA ‘WABISHI’ WAWILI KATIKA ORODHA YA WAPINGA UDHAMINI WA GSM
Friday, March 27, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM UONGOZI wa Yanga SC umewasimamisha wajumbe wawili wa Kamati ya Utendaji, Salim Rupia na Frank Kamugisha k...
WAJUMBE WAWILI YANGA SC WAJIUZULU KWA TUHUMA ZA KUUTILIA SHAKA UDHAMINI WA KAMPUNI YA GSM
Friday, March 27, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WAJUMBE wawili Kamati ya Utendaji ya Yanga SC, Shijja Richard na Rodgers Gumbo wamejiuzulu wadhifa huo le...
Thursday, March 26, 2020
SHANGHAI SHENHUA YAMPA IGHALO OFA YA MKATABA MPYA MNONO
Thursday, March 26, 2020
KLABU ya Shanghai Shenhua ya China imetoa ofa ya kumuongezea mkataba wa miaka miwili mshambuliaji wake Odion Ighalo (30) ambaye anacheza kw...
UMATI ULIOJITOKEZA KUMSINDIKIZA ASHA MUHAJI KATIKA SAFARI YAKE YA MWISHO LEO DAR ES SALAAM
Thursday, March 26, 2020
Umati wa watu uliojitokeza kwenye mazishi ya aliyewahi kuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba SC, Asha Muhaji jioni ya leo kwenye makaburi y...
KWA BERNARD MORRISON WA YANGA SC, MAZOEZI NI POPOTE KIPINDI HIKI CHA MLIPUKO WA VIRUSI VYA CORONA
Thursday, March 26, 2020
Winga Mghana wa Yanga SC, Bernard Morrison akifanya mazoezi ya kuruka kamba katika maegesho ya magari kwenye nyumba anayoishi eneo la Mbe...
Wednesday, March 25, 2020
ALIYEKUWA AFISA HABARI WA SIMBA SC, ASHA MUHAJI AFARIKI DUNIA LEO HINDU MANDAL
Wednesday, March 25, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM ALIYEWAHI kuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba SC, Asha Muhaji amefariki dunia mapema leo katika hosptali...
MBWANA SAMATTA AONYESHA YEYE NI “CHIZI MABENZI” BAADA YA KUNUNUA BENZ YA TATU ULAYA
Wednesday, March 25, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta ameonyesha yeye ni mpenzi mno wa gari aina ya ...
Tuesday, March 24, 2020
MTANZANIA ANAYECHEZA SOKA YA KULIPWA MOROCCO, SIMON MSUVA AAMUA KUPAMBANA NA VIRUSI VYA CORONA KWA KUOGELEA
Tuesday, March 24, 2020
Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva akcheza kwenye bwawa la kuogelea nchini Morocco ambako anachezea klabu...
TIMU YA TAIFA YA KARATE TANZANIA YA KUSHIRIKI MASHINDANO YA DUNIA JAPAN OKTOBA
Tuesday, March 24, 2020
Na Mwandishi Wetum DAR ES SALAAM TIMU ya Taifa ya Tanzania ya Mchezo wa Karate imepata Nafasi ya kwenda kushiriki katika mashindano ya Du...
KASEJA AJIFUA KWA BIDII BAADA YA KUPONA GOTI ILI AREJESHWE TAIFA STARS AKACHEZE CHAN
Tuesday, March 24, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIPA mkongwe nchini, Juma Kaseja amesema kwamba atapambana kurejesha kiwango chake baada ya kupona maumiv...
MEXIME ASITA KUHAMIA YANGA SC, ASEMA ANATEMBEA NA MKATABA WAO TANGU MWAKA JANA
Tuesday, March 24, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA wa Kagera Sugar Mecky Mexime amefichua kwa mara ya kwanza kuwa anatakiwa na klabu ya Yanga ameshape...
NDAYIRAGIJE ASEMA ATALAZIMIKA KUUNDA UPYA KIKOSI CHA TAIFA STARS RATIBA MPYA IKITOKA
Tuesday, March 24, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Etienne Ndayiragije amesema atalazimika kuita wachezaji ...
CORONA; MIKE TYSON AINGIA KARANTINI NA MBWA WAKE
Tuesday, March 24, 2020
Mike Tyson mwenye umri wa miaka 53 sasa akiwa na mbwa wake katika karantini yake Jijini Nevada, Marekani kujihadhari na maambukizi ya vir...
Monday, March 23, 2020
HULK AOA MPWA WA MKEWE WA ZAMANI NA KUHAMIA NAYE CHINA
Monday, March 23, 2020
NYOTA wa Brazil, Hulk ameripotiwa kuoa mpwa wa mke wake zamani, baada ya wawili hao kuweka hadharani mahusiano yao Desemba mwaka jana. Ms...
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA CLEMENT KAHABUKA
Monday, March 23, 2020
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBERY NA VICTOR COSTA II
Monday, March 23, 2020
Sunday, March 22, 2020
KELVIN YONDAN ANAVYOZEEKA NA UTAMU WAKE YANGA NA TAIFA STARS
Sunday, March 22, 2020
Na Gift Macha, DAR ES SALAAM BEKI wa kati wa Yanga, Kelvin Yondani ananifurahisha sana.. Kwa mujibu wa taarifa zake katika mtandao wa Foot...
RAIS WA ZAMANI WA REAL MADRID AFARIKI KWA UGONJWA WA CORONA
Sunday, March 22, 2020
RAIS wa zamani wa Real Madrid, Lorenzo Sanz amefariki dunia akiwa ana umri wa miaka 76 baada ya kukutwa na virusi vya corona. Sanz alikuwa...
LIGI KUU ENGLAND KUREJEA JUNI 1, ITAFANYIKA KWA WIKI SITA
Sunday, March 22, 2020
LIGI Kuu ya England huenda ikaanza tena Juni 1 na mechi zote zitachezwa ndani ya wiki sita kukamilisha msimu. Msimu wa sasa umeahirishwa ...
KIKOSI CHA 82 RANGERS SHINYANGA KILICHOIKOMALIA SIMBA SC 2002
Sunday, March 22, 2020
KIKOSI cha 82 Rangers ya Shinyanga kabla ya mechi na Simba SC iliyomalizika kwa sare ya 2-2 Agosti 31, mwaka 2002 Uwanja wa Kambarage mk...
Saturday, March 21, 2020
KARIA ATAHADHARISHA KLABU KUTOWARUHUSU WACHEZAJI NA MAKOCHA WAKE WA KIGENI KUREJEA KWAO
Saturday, March 21, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amezitahadharisha klabu kutowaruhusu wachezaji, ...
Friday, March 20, 2020
BERNARD MORRISON KIBOKO YA SIMBA SC ATIWA KITANZI JANGWANI, ASAINI MKATABA YANGA SC HADI JUNI 2022
Friday, March 20, 2020
Kiungo mshambuliaji, Mghana Benard Morrison (kushoto) akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Mhandisi Hersi Said (kulia) le...
KIGOGO YANGA SC AKIWA KWENYE KIKAO CHA MAJADILIANO YA MKATABA MPYA NA NAHODHA PAPY KABAMBA TSHISHIMBI "MUTU YA KONGO"
Friday, March 20, 2020
Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Mhandisi Hersi Said (kushoto) akiwa kwenye kikao Nahodha wa klabu hiyo, Papy Kabamba Tshishim...
Wednesday, March 18, 2020
HAJAMSAHAU ‘MAMA WATOTO’, MAYWEATHER AFIWA NA MJOMBA
Wednesday, March 18, 2020
BONDIA Floyd Mayweather amepata pigo baada ya kufiwa na mjomba wake, Roger Mayweather aliyetoa mchango mkubwa katika mafanikio yake ya ulin...
GARDIEL MICHAEL MBAGA ANAVYOJIFUA KWA BIDII KUREJESHA NAFASI YAKE SIMBA SC
Wednesday, March 18, 2020
Beki aliyepoteza nafasi kikosi cha kwanza Simba SC, Gardiel Michael Mbaga kias cha kuachwa hadi timu ya taifa akijifua gym kujiweka fiti ...
Subscribe to:
Posts (Atom)