• HABARI MPYA

        Saturday, February 22, 2020

        WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AMFARIJI KATIBU MKUU WA TFF, KIDAO BAADA YA KUFIWA NA KAKA YAKE

        Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa akisaini Kitabu cha maombolezo alipofika kumpa pole Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Kidao Wilfred aliyefiwa na kaka yake mkubwa, Mathew Champanda 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AMFARIJI KATIBU MKUU WA TFF, KIDAO BAADA YA KUFIWA NA KAKA YAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry