Kipa wa Morocco akidaka mpira mbele ya kiungo mshambuliaji wa Tanzania, Mwanahamisi Omary 'Gaucho' kwenye mchezo wa michuano ya Wanawake kwa nchi za Kaskazini mwa Afrika ijulikanayo kama UNAF, leo Uwanja wa Kram Jijini Tunis.
Happiness Hezron wa Twiga Stars (kulia) akiupigia hesabu mpira dhidi ya wachezaji wa Morocco. Morocco imeshinda 3-2 na huo ni mchezo wa kwanza kwa Twiga Stars walioalikwa kuongeza ladha ya mashindano hayo kupoteza, baada ya kushinda 7-2 dhidi ya Mauritania na 3-1 dhidi ya Algeria.
Giants Rumors: Brian Daboll, Joe Schoen 'Are Not a Duo' amid Hot-Seat Buzz
-
The New York Giants hired both general manager Joe Schoen and head coach
Brian Daboll ahead of the 2022 season, but that reportedly doesn't mean
they will…
23 minutes ago
0 comments:
Post a Comment