• HABARI MPYA

        Saturday, February 22, 2020

        TWIGA STARS YAKAMILISHA MICHUANO YA UNAF KWA KUTOA SARE YA 1-1 NA WENYEJI, TUNISIA

        Mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Amina Ally akimdhibiti mchezaji wa Tunisia kwenye mchezo wa mwisho wa michuano ya UNAF leo Uwanja wa Kram Jijini Tuninia, timu hizo zikitoka sare ya 1-1. 
        Mechi tatu za awali, Twiga Stars ilishinda 7-0 dhidi ya Mauritania na 3-2 dhdi ya Algeria kabla ya kufungwa 3-2 na Morocco.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: TWIGA STARS YAKAMILISHA MICHUANO YA UNAF KWA KUTOA SARE YA 1-1 NA WENYEJI, TUNISIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry