• HABARI MPYA

        Monday, February 24, 2020

        TWIGA STARS WALIVYOWASILI DAR ES SALAAM LEO BAADA YA KUSHIKA NAFASI YA PILI MICHUANO YA UNAF TUNISIA

        Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania ya wanawake, Twiga Stars wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam leo kutoka Tunisia walipokwenda kushiriki michuano ya UNAF iliyomalizika kwa timu hiyo kushika nafasi ya pili.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: TWIGA STARS WALIVYOWASILI DAR ES SALAAM LEO BAADA YA KUSHIKA NAFASI YA PILI MICHUANO YA UNAF TUNISIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry