Mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Enekia Kasonga (kulia) akimiliki mpira dhidi ya wachezaji wa Mauritania katika mchezo wa ufunguzi michuano ya Michuano ya Kanda ya Kaskazini (UNAF) leo Uwanja wa Kram mjini Tunis, Tunisia leo. Twiga Stars imeshinda 7-0, mabao yake yakifungwa na Amina Ally, Opa Clement, Asha Hamza mawili, Enekia Kasonga na Mwanahamisi Omary 'Gaucho' mawili pia
![]() |
Opa Clement wa Twiga Stars (kulia) akimtaabisha mchezaji wa Mauritania leo |
0 comments:
Post a Comment