// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TOTTENHAM YAICHAPA SOUTHAMPTON 3-2 NA KUSONGA KOMBE LA FA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TOTTENHAM YAICHAPA SOUTHAMPTON 3-2 NA KUSONGA KOMBE LA FA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, February 06, 2020

    TOTTENHAM YAICHAPA SOUTHAMPTON 3-2 NA KUSONGA KOMBE LA FA

    Son Heung-min akishangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la ushindi dakika ya 88 kwa penalti ikiilaza 3-2 Southampton na kutinga Raundi ya Tano ya Kombe la FA England Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Jack Stephens aliyejifunga dakika ya 12 na Lucas Moura dakika ya 78, wakati ya Southampton yalifungwa na Shane Long dakika ya 34 na Danny Ings dakika ya 72 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TOTTENHAM YAICHAPA SOUTHAMPTON 3-2 NA KUSONGA KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top