Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Oscar Mirambo (katikati) akiwakabidhi mipira magwiji wa soka ya Tanzania, Abdallah Athumani Seif 'King Kibadeni' (kushoto) na Sunday Ramadhani Manara 'Computer' (kulia) kuwaunga mkono katika mpango wao wa kuanzisha vituo vya kufundisha Vijana.
Afisa wa TFF Idd Mshangama akiwakabidhi hati za kusafiria Kibadeni, aliyewika Simba enzi zake na Manara aliyeng'ara Yanga ambazo zimegharamiwa na shirikisho hilo

0 comments:
Post a Comment