Lionel Messi akishangila kibabe baada ya kufunga mabao manne dakika za 14, 37, 40 na 87 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Eibar kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Camp Nou, bao lingine likifungwa Arthur dakika ya 89. Kwa ushindi huo, kikosi cha Quique Setien kinafikisha pointi 55 katika mchezo wa 23 na kurejea kileleni mwa La Liga, sasa kikiwazidi pointi mbili mahasimu, Real Madrid ambao usiku huu wanacheza mechi yao ya 23 pia dhidi ya Levante PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Giants Rumors: Brian Daboll, Joe Schoen 'Are Not a Duo' amid Hot-Seat Buzz
-
The New York Giants hired both general manager Joe Schoen and head coach
Brian Daboll ahead of the 2022 season, but that reportedly doesn't mean
they will…
12 minutes ago
0 comments:
Post a Comment