• HABARI MPYA

        Friday, February 14, 2020

        MAZOEZI YA YANGA SC KUJIANDAA NA MCHEZO WA LIG KUU DHIDI YA TANZANIA PRISONS KESHO TAIFA

        Kiungo Mghana wa Yanga, Bernard Morrison akiwaongoza wenzake mazoezini jana mjini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons kesho Saa 1:00 usiku Uwanja wa Taifa
        Kiungo Abdulaziz Makame akijifua na wenzake mazoezini jana mjini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons kesho Saa 1:00 usiku Uwanja wa Taifa 

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MAZOEZI YA YANGA SC KUJIANDAA NA MCHEZO WA LIG KUU DHIDI YA TANZANIA PRISONS KESHO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry