Mshambuliaji Anthony Martial (kushoto) akipongezana na Harry Maguire baada ya wote kufunga kwenye ushindi wa 2-0 wa Manchester United dhidi ya wenyeji, Chelsea leo Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. ) Anthony Martial alifunga la kwanza dakika ya 45 na Maguire akafunga la pili dakika ya 66 na kwa ushindi huo United inafikisha pointi 35 katike mchezo wa 25. Refa Anthony Taylor alitumia msaada wa VAR kukataa mabao mawili ya Chelsea PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Giants Rumors: Brian Daboll, Joe Schoen 'Are Not a Duo' amid Hot-Seat Buzz
-
The New York Giants hired both general manager Joe Schoen and head coach
Brian Daboll ahead of the 2022 season, but that reportedly doesn't mean
they will…
10 minutes ago
0 comments:
Post a Comment