// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); LIVERPOOL YAICHAPA SHREWSBURY 1-0 NA KUSONGA MBELE FA CUP - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE LIVERPOOL YAICHAPA SHREWSBURY 1-0 NA KUSONGA MBELE FA CUP - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, February 05, 2020

    LIVERPOOL YAICHAPA SHREWSBURY 1-0 NA KUSONGA MBELE FA CUP

    Chipukizi wa Liverpool, Neco Williams na Adam Lewis wakishangilia baada ya timu yao kupata bao pekee dakika ya 75, Ro-Shaun Williams akijifunga katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Shrewsbury Town jana Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa marudio Raundi ya Nne Kombe la FA, England kufuatia mchezo wa kwanza kumalizika kwa sare ya 2-2 Januari 26 Uwanja wa Montgomery Waters Meadow 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL YAICHAPA SHREWSBURY 1-0 NA KUSONGA MBELE FA CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top