// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); JKT TANZANIA YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA COASTAL UNION YA TANGA LEO UHURU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE JKT TANZANIA YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA COASTAL UNION YA TANGA LEO UHURU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, February 04, 2020

    JKT TANZANIA YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA COASTAL UNION YA TANGA LEO UHURU

    Kiungo wa Coastal Unon, Ayoub Semtawa (kushoto) akimtoka beki wa JKT Tanzania, Saad Akubabar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1, JKT wakitangulia kwa bao la Adam Adam dakika ya 51 kabla ya Ayoub Lyanga kusawazishia Coastal kwa penalti dakika ya 61 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JKT TANZANIA YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA COASTAL UNION YA TANGA LEO UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top