• HABARI MPYA

        Saturday, February 22, 2020

        JESUS APIGA BAO PEKEE MAN CTY YAICHAPA LEICESTR 1-0 KING POWER

        Gabriel Jesus (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao pekee dakika ya 80 ikiilaza Leicester City 1-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa King Power leo. Sergio Aguero alikosa penalti iliyookolewa na Kasper Schmeichel, wakati Leicester walilalamika kunyimwa penalti mbili 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: JESUS APIGA BAO PEKEE MAN CTY YAICHAPA LEICESTR 1-0 KING POWER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry