Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC, Fredrick Mwakalebela (kulia) akiwa na mtaalamu aliyebobea wa mfumo wa kisasa wa uendeshaji soka, Carraca Antonio Domingoz Pinto (katikati) baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam leo kwa ajili ya kushauri juu ya mfumo wa mabadiliko ya uendeshaji wa klabu hiyo.
Kushoto ni Mhandisi Hersi Said, Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM, kampuni iliyomleta Pinto aliyewahi kuwa Meneja Mkuu wa Benfica ya kwao, Ureno kwa muongo mmoja mzima
Kushoto ni Mhandisi Hersi Said, Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM, kampuni iliyomleta Pinto aliyewahi kuwa Meneja Mkuu wa Benfica ya kwao, Ureno kwa muongo mmoja mzima
0 comments:
Post a Comment