Nyota mdogo, Ansu Fati akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Barcelona dakika ya 30 na 31 mara zote akimalizia pasi za Lionel Messi timu hiyo ikiibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Levante, ambayo bao lake lilifungwa na Ruben Rochina usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou katika mchezo wa La Liga. Fati aliyezaliwa Guinea-Bissau Oktoba 31, 2002 ambaye sasa ana uraia wa Hispania, ameweka rekodi ya kuwa mchezaji mdogo zaidi (miaka 17) kufunga mabao mawili katika mechi moja ya La Liga kihistoria PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Eric Dickerson Clarifies Saquon Barkley Comments: 'I Would Never Hate on
Another RB'
-
Hall of Famer Eric Dickerson says he supports fellow running backs while
maintaining that he doesn't want Philadelphia Eagles star Saquon Barkley to
break ...
57 minutes ago
0 comments:
Post a Comment