Beki wa Azam FC, Aggrey Morris akiwa mazoezini leo kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Namungo FC utakaofanyika Jumamosi Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoan Lindi
Kocha wa Azam FC, Mromania Aristica Cioaba akiwa mazoezini leo kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Namungo FC utakaofanyika Jumamosi Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoan Lindi


0 comments:
Post a Comment