• HABARI MPYA

        Monday, February 17, 2020

        ARSENAL YAZINDUKA LIGI KUU ENGLAND, YAICHAPA NEWCASTLE 4-0

        Wachezaji wa Arsenal wakipongezana baada ya ushindi wa kwanza katika Ligi Kuu ya England tangu waifunge Manchester United siku ya mwaka mpya, kufuatia kuichapa Newcastle United 4-0 jana mabao ya Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 54, Nicolas Pepe dakika ya 57, Mesut Ozil dakika ya 90 na Alexandre Lacazette dakika ya 90 na ushei Uwanja wa Emirates 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: ARSENAL YAZINDUKA LIGI KUU ENGLAND, YAICHAPA NEWCASTLE 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry