Saturday, February 29, 2020
ISMAILA SARR APIGA MBILI LIVERPOOL YACHAPWA 3-0 VICARAGE
Saturday, February 29, 2020
Mshambuliaji wa umri wa miaka 22 Msenegal, Ismaila Sarr (katikati) amefunga mabao mawili dakika za 54 na 60 katika ushindi wa 3-0 wa Watf...
ALONSO AIPIGIA ZOTE MBILI CHELSEA YATOKA 2-2 NA BOURNEMOUTH
Saturday, February 29, 2020
Marcos Alonso akishangilia baada ya kuifungia Chelsea mabao yote mawili dakika za 33 na 85 katika sare ya 2-2 na wenyeji, AFC Bournemouth...
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA JAFFAR ABBAS KATIKA SPORTS AM AZAM TV
Saturday, February 29, 2020
NCHIMBI ATOKEA BENCHI NA KUIFUNGIA YANGA MABAO YOTE IKIWAPIGA 2-0 ALLIANCE FC TAIFA
Saturday, February 29, 2020
Na Stella Theopist, DAR ES SALAAM YANGA SC imepata ushindi wa kwanza katika mechi tano za Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa All...
AZAM FC YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 DODOMA, NAMUNGO FC NAYO YAIPIGA 2-1 LIPULI SAMORA
Saturday, February 29, 2020
Na Mwandishi Wetu, DODOMA BAO la dakika ya 90 la mshambuliajii chipukizi, Andrew Simchimba limetosha kuipa Azam FC ushindi wa 1-0 ugenini ...
Friday, February 28, 2020
SHIME ANAAMINI TANZANIA ITAICHAPA UGANDA KESHO KUFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U-17
Friday, February 28, 2020
Na Stella Theopist, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya wanawake u-17 ya Tanzania, Bakari Shime amesema kuwa kikosi kimejipanga kufanya ...
ARSENAL YATUPWA NJE EUROPA LEAGUE BAADA YA KUPIGWA 2-1 EMIRATES
Friday, February 28, 2020
Youssef El-Arabi akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Olympiacos dakika ya 119 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Arsenal kwe...
FRED APIGA MBILI MAN UNITED YASHINDA 5-0 EUROPA LEAGUE
Friday, February 28, 2020
Kiungo wa Manchester United, Frederico Rodrigues Santos 'Fred' akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili timu hiyo dakika za 8...
Thursday, February 27, 2020
YANGA SC 1-0 GWAMBINA FC (KOMBE LA TFF)
Thursday, February 27, 2020
RONALDO AKOSA 'BAO LA WAZI' JUVE YACHAPWA 1-0 NA LYON UFARANSA
Thursday, February 27, 2020
Mshambuliaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo akisikitika baada ya kupoteza nafasi nzuri ya kufunga dakika ya 80 kwenye mchezo wa kwanza ha...
MAN CITY WAIKANDAMIZA REAL MADRID 2-1 PALE PALE BERNABEU
Thursday, February 27, 2020
Kevin De Bruyne (kulia) akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Manchester City kwa penalti dakika ya 83 ikiwalaza 2-1 wenyeji, Re...
Wednesday, February 26, 2020
YANGA SC YAICHAPA 1-0 GWAMBINA FC NA KUTINGA ROBO FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP
Wednesday, February 26, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM YANGA SC imeungana na mahasimu wao, Simba SC kutinga Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania...
JONAS MKUDE AUNGANISHWA NA MORRISON KESI YA KUPIGA ‘VIWIKO’ KAMATI YA NIDHAMU TFF
Wednesday, February 26, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO wa Simba SC, Jonas Gerald Mkude amepelekwa Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ...
MAREFA WALIOKATAA BAO LA POLISI DHIDI YA YANGA MOSHI WAFUNGIWA MIEZI MITATU KILA MMOJA
Wednesday, February 26, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MAREFA waliochezesha mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara baina ya wenyeji, Polisi Tanzania na Yanga SC ya D...
RUVU SHOOTING YAPIGWA FAINI SH MILIONI 1, MASAU BWIRE APELEKWA KAMATI YA NIDHAMU
Wednesday, February 26, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Ruvu Shooting FC imetozwa faini ya Sh Milioni 1 kwa kosa la timu hiyo kuingia uwanjani kwa kupiti...
LUC EYMAEL NA TSHISHIMBI WAPIGWA FAINI KWA KUGOMA KUZUNGUMZA NA AZAM TV TANGA
Wednesday, February 26, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA wa Yanga SC, Mbelgiji Luc Eymael ametozwa faini ya Sh 500,000 kwa kosa la kukataa kufanya mahojiano...
WILDER AMFUKUZA KOCHA WAKE ALIYERUSHA TAULO ULINGONI
Wednesday, February 26, 2020
BONDIA Deontay Wilder atamfukuza kocha wake Mark Breland baada ya kukasirishwa na kitendo chake cha kurusha taulo ulingoni Jumapili katika ...
SERGE GNABRY APIGA MBILI BAYERN MUNICH YAICHAPA CHELSEA 3-0
Wednesday, February 26, 2020
Serge Gnabry akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich mabao mawili dakika za 51 na 54 kabla ya Robert Lewandowski kufunga la tatu ...
GRIEZMANN AISAWAZISHIA BARCELONA YATOA SARE YA 1-1 NA NAPOLI ITALIA
Wednesday, February 26, 2020
Antoine Griezmann (kulia) akijiandaa kushangilia baada ya kuifungia bao la kusawazisha Barcelona dakika ya 57 ikitoa sare ya 1-1 na wenye...
Tuesday, February 25, 2020
STAND UNITED 1-1 (PENALTI 2-3) SIMBA SC (KOMBE LA TFF)
Tuesday, February 25, 2020
SIMBA SC YAING’OA KWA MATUTA STAND UNITED NA KUTINGA ROBO FANALI MICHUANO YA ASFC
Tuesday, February 25, 2020
Na Mwandishi Wetu, SHINYANGA MABINGWA wa soka Tanzania, Simba SC wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania ...
MANE APIGA BAO LA USHINDI JIONI LIVERPOOL YAICHAPA WEST HAM 3-2
Tuesday, February 25, 2020
Sadio Mane akitabasamu baada ya kuifungia bao la ushindi Liverpool dakika ya 81 ikiichapa 3-2 West Ham katika mchezo wa Ligi Kuu ya Engla...
Monday, February 24, 2020
TWIGA STARS WALIVYOWASILI DAR ES SALAAM LEO BAADA YA KUSHIKA NAFASI YA PILI MICHUANO YA UNAF TUNISIA
Monday, February 24, 2020
Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania ya wanawake, Twiga Stars wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es ...
MAZOEZI YA SIMBA SC LEO SHINYANGA KUJIANDAA NA MCHEZO DHIDI YA STAND UNITED KESHO MICHUANO YA ASFC
Monday, February 24, 2020
Viungo wa Simba SC, Mbrazil Gerson Fraga 'Vieira' (kulia) na Jonas Mkude wakichuana mazoezini leo Uwanja wa Kambarage mjini Shiny...
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA AKIDA MAKUNDA
Monday, February 24, 2020
COASTAL UNION 0-0 YANGA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Monday, February 24, 2020
BRUNO AFUNGA MANCHESTER UNITED YAITANDIKA WATFORD 3-0
Monday, February 24, 2020
Wachezaji wa Manchester United wakishangilia ushindi wa 3-0 dhidi ya Watford, mabao ya Bruno Fernandes kwa penalti dakika ya 42, Anthony ...
AUBAMEYANG APIGA MBILI ARSENAL YAICHAPA EVERTON 3-2 EMIRATES
Monday, February 24, 2020
Nahodha wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 33 na 46 kufuata Eddie Nketiah kufunga...
Sunday, February 23, 2020
YANGA SC YAZIDI KUPOTEZA MATUMAINI YA UBINGWA BAADA YA SARE NYINGINE LEO MKWAKWANI
Sunday, February 23, 2020
Na Mwandishi Wetu, TANGA NDOTO za ubingwa zimezidi kuyeyuka kwa vigogo, Yanga SC baada ya leo kulazimishwa sare ya nne mfululizo kufuatia ...
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA SHAABAN MKONGWE
Sunday, February 23, 2020
SIMBA SC 3-1 BIASHARA UNITED (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Sunday, February 23, 2020
LEVANTE YAICHAPA REAL MADRID 1-0 NA KUIONDOA KILELENI LA LIGA
Sunday, February 23, 2020
Wachezaji wa Levante wakishangilia baada ya Jose Luis Morales kufunga bao pekee dakika ya 79 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Real Madrid k...
TYSON FURY AMTWANGA WILDER KWA TKO RAUNDI YA SABA
Sunday, February 23, 2020
Bondia Mmarekani, Deontay Wilder (kulia) akiwa ameketi chini baada ya kuangushwa Muingereza, Tyson Fury (kushoto) katika pambano la ngumi...
Saturday, February 22, 2020
JESUS APIGA BAO PEKEE MAN CTY YAICHAPA LEICESTR 1-0 KING POWER
Saturday, February 22, 2020
Gabriel Jesus (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao pekee dakika ya 80 ikiilaza Leicester City 1-0 kwenye mchezo ...
SAMATTA ACHEZA HADI MWISHO ASTON VILLA YAFUNGWA MECHI YA TATU MFULULIZO ENGLAND
Saturday, February 22, 2020
Na Mwandishi Wetu, HAMPSHIRE MSHAMBULAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amecheza dakika zote 90, timu yake, Aston Villa iki...
SIMBA SC YAICHAPA BIASHARA 3-1 NA KUZIDI KUUKARIBIA UBINGWA WA TATU MFULULIZO LIGI KUU
Saturday, February 22, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza wimbi la ushindi katika kampeni yao ya kutwaa taji la tatu mfulu...
LIONEL MESSI APIGA NNE BARCELONA YAICHAPA EIBAR 5-0 LA LIGA
Saturday, February 22, 2020
Lionel Messi akishangila kibabe baada ya kufunga mabao manne dakika za 14, 37, 40 na 87 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Eibar kwenye mchez...
NAMUNGO FC YAICHAPA AZAM FC 1-0 NA KUJIWEKA SAWA KWENYE NAFASI YA TATU LIGI KUU
Saturday, February 22, 2020
Na Mwandishi Wetu, RUANGWA TIMU ya Namungo FC imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni...
GIROUD NA ALONSO WAFUNGA CHELSEA YAICHAPA TOTTENHAM 2-1
Saturday, February 22, 2020
Beki Marcos Alonso akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya 48 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Tottenham Hot...
TWIGA STARS YAKAMILISHA MICHUANO YA UNAF KWA KUTOA SARE YA 1-1 NA WENYEJI, TUNISIA
Saturday, February 22, 2020
Mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Amina Ally akimdhibiti mchezaji wa Tunisia kwenye mchezo wa mwisho wa michuano ya UNAF...
WLDER NA TYSON WAPIMA UZITO ILI KUZICHAPA KESHO MGM GRAND
Saturday, February 22, 2020
Bondia Muingereza, Tyson Fury akionyesha hasira zake wakati wa kupima uzito leo kuelekea pambano la ngumi za za kulipwa uzito wa juu dhid...
RAIS WA TFF, WALLACE KARIA AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZITAKAZOSHIRIKI MICHUANO YA VIJANA U15 NA U17
Saturday, February 22, 2020
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia akikabidhi vifaa mbalimbali kwa Shule zitakazoshiriki Ligi za Wasichana na Wavul...
WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AMFARIJI KATIBU MKUU WA TFF, KIDAO BAADA YA KUFIWA NA KAKA YAKE
Saturday, February 22, 2020
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa akisaini Kitabu cha maombolezo alipofika kumpa pole Katibu Mku...
YANGA SC YATOZWA FAINI, MORRISON APELEKWA KAMATI YA NIDHAMU KWA KUMPIGA MCHEZAJI WA PRISONS
Saturday, February 22, 2020
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Yanga SC imetozwa faini ya Sh 500,000 kwa kosa la timu hiyo kushindwa kuwasilisha fomu ya wachez...
Subscribe to:
Posts (Atom)