Afisa Mhamasishaji wa klabu ya Yanga, Antonio Nugaz (kushoto) akiwa na Riedoh Berdien baada ya kuwasili kutoka kwao, Afrika Kusini kwa ajili ya kujiunga na klabu hiyo kama Kocha wa Mazoezi ya Utimamu wa mwili (Fitness coach) na Msaidizi wa Pili chini ya kocha Mkuu, Mbelgiji Luc Eymael baada ya wawili hao kufanya kazi pamoja awali klabu ya Free State Stars.
Berdien pia amefundisha klabu za Chippa United na timu ya taifa ya Wanawake ya Afrika Kusini, Banyana Banyana na timu za taifa za wanaume za Botswana, Bangladesh na Trinidad and Tobago
Berdien pia amefundisha klabu za Chippa United na timu ya taifa ya Wanawake ya Afrika Kusini, Banyana Banyana na timu za taifa za wanaume za Botswana, Bangladesh na Trinidad and Tobago
0 comments:
Post a Comment