// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); FURY NA WILDER WALIVYOTAMBIANA KUELEKEA PAMBANO LA MARUDIANO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE FURY NA WILDER WALIVYOTAMBIANA KUELEKEA PAMBANO LA MARUDIANO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, January 14, 2020

    FURY NA WILDER WALIVYOTAMBIANA KUELEKEA PAMBANO LA MARUDIANO

    Mabondia Deontay Wilder (kulia) na Tyson Fury wakitambiana wakati wa mkutano wao wa kwanza na Wasandishi wa Habari mapema leo ukumbi wa Novo Theatre Jijini Los Angeles kuelekea pambano lao marudiano Februari 22 ukumbi wa MGM Grand Jijini Las Vegas, Marekani baada ya kutoka droo kwenye pambano la kwanza miezi 13 iliyopita nchini humo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: FURY NA WILDER WALIVYOTAMBIANA KUELEKEA PAMBANO LA MARUDIANO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top