Raphael Varane akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za 34 na 53 kabla ya Luka Modric kufunga la tatu dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Getafe kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Coliseum Alfonso Perez, hivyo kurejea kileleni sasa wakiizidi pointi moja Barcelona ambayo usiku huu inamenyana na Espanyol PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Match preview: Manchester United v City
-
Sunday's match provides us with the chance to complete a double over our
city neighbours.
34 minutes ago
0 comments:
Post a Comment