// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); REAL MADRID WATWAA SUPER CUP YA HISPANIA NCHINI SAUDI ARABIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE REAL MADRID WATWAA SUPER CUP YA HISPANIA NCHINI SAUDI ARABIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, January 13, 2020

    REAL MADRID WATWAA SUPER CUP YA HISPANIA NCHINI SAUDI ARABIA

    Wachezaji wa Real Madrid wakishangilia baada ya ushindi wa penalti 4-1 kufuatia sare ya 0-0 dhidi ya mahasimu wao wa Jiji, Atletico Madrid kwenye fainali ya Super Cup ya Hispania usiku wa jana Uwanja wa King Abdullah Sports City Jijini Jeddah, Saudi Arabia. Penalti za Real iliyomaliza pungufu baada ya Federico Valverde kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 115 zilifungwa na Carvajal, Rodrygo, Luka Modric na Sergio Ramos, wakati ya Atletico ilifungwa na Saul pekee huku Thomas Teye Partey na Kieran Trippier wakikosa 



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: REAL MADRID WATWAA SUPER CUP YA HISPANIA NCHINI SAUDI ARABIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top