// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RASHFORD APIGA MBILI MECHI YA 200 MAN UNITED IKISHINDA 4-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RASHFORD APIGA MBILI MECHI YA 200 MAN UNITED IKISHINDA 4-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, January 11, 2020

    RASHFORD APIGA MBILI MECHI YA 200 MAN UNITED IKISHINDA 4-0

    Washambuliaji Marcus Rashford na Anthony Martial wakipongezana baada ya wote kuifungia  Manchester United katika ushndi wa 4-0 dhid ya Norwich City leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford. Rashford ambaye amecheza mechi ya 200 leo Man United amefunga bao la kwanza dakika ya 27 na la pili kwa penalti dakika ya 52 na Martial la tatu dakika ya 54, wakati la nne limefungwa na Mason Greenwoodon dakika ya 76 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RASHFORD APIGA MBILI MECHI YA 200 MAN UNITED IKISHINDA 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top